This page in: -- Albanian -- Arabic -- Armenian -- Bengali -- Burmese -- Cebuano -- Chinese -- Dioula -- English -- Farsi -- French -- Georgian -- Greek -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- Javanese -- KISWAHILI -- Kyrgyz -- Malayalam -- Peul -- Portuguese -- Russian -- Serbian -- Somali -- Spanish -- Tamil -- Telugu -- Thai -- Turkish -- Twi -- Urdu -- Uyghur -- Uzbek -- Vietnamese -- Yiddish -- Yoruba
YOHANA - Nuru inaangaza gizani
Somo la Injili ya Kristo kufuatana na Mtume Yohana
SEHEMU YA 1 - Kuangaza kwa nuru tukufu ya Mungu (Yohana 1:1 - 4:54)
A - Neno la Mungu kufanyika mwili ndani ya Yesu (Yohana 1:1-18)
1. Asili na kazi ya Neno kabla ya kufanyika mwili (Yohana 1:1-5)
2. Mbatizaji anatengeneza njia ya Kristo (Yohana 1:6-13)
3. Ukamilifu wa Mungu ulitokea katika kuzaliwa kwa Kristo mwilini (Yohana 1:14-18)
B - Kristo anaongoza wanafunzi wake kutoka hali ya kutubu kwenye furaha ya karamu ya arusi (Yohana 1:19 - 2:12)
1. Utume kutoka kwa baraza kuu (iitwayo Sanhedrin) unamhoji Mbatizaji (Yohana 1:19-28)
2. Ushuhuda zingine za Mbatizaji za kuvutia sana, za kumhusu Kristo (Yohana 1:29-34)
3. Wanafunzi sita wa kwanza (Yohana 1:35-51)
4. Mwujiza wa kwanza wa Yesu kwenye Arusi ya Kana (Yohana 2:1–12)
C - Kristo kutembelea mara ya kwanza mji wa Yerusalemu (Yohana 2:13 - 4:54) -- Neno Kuu: Kuabudu kwa kweli ni nini?
1. Kutakaswa kwa hekalu (Yohana 2:13-22)
2. Yesu anaongea na Nikodemo (Yohana 2:23 – 3:21)
a) Watu walianza kumwegemea Yesu (Yohana 2:23-25)
b) Haja ya kuzaliwa mara ya pili (Yohana 3:1-13)
c) Msalaba, njia ya kuzaliwa mara ya pili (Yohana 3:14–16)
d) Kumkataa Kristo kunaleta hukumu (Yohana 3:17-21)
3. Mbatizaji anamshuhudia Yesu kama Bwana Arusi (Yohana 3:22–36)
4. Yesu atembelea Samaria (Yohana 4:1–42)
a) Yesu anamwongoza mwanamke mzinzi apate kutubu (Yohana 4:1-26)
b) Yesu awaongoza wanafunzi wake waone mavuno yaliyo tayari (Yohana 4:27-38)
c) Uinjilisti kule Samaria (Yohana 4:39-42)
5. Kumponya mwana wa diwani (Yohana 4:43-54)
SEHEMU YA 2 - Sehemu ya pili: Nuru inang’aa gizani (Yohana 5:1 - 11:54)
A - Safari ya pili kwenda Yerusalemu (Yohana 5:1-47) -- Neno Kuu: Kutokea kwa uadui kati ya Yesu na Wayahudi
1. Kumponya aliyepooza kwenye birika la Bethzatha (Yohana 5:1-16)
2. Mungu afanya kazi na Mwana wake (Yohana 5:17-20)
3. Kristo afufua wafu na atahukumu ulimwengu (Yohana 5:20-30)
4. Shuhuda nne juu ya Uungu wa Kristo (Yohana 5:31-40)
5. Sababu ya kutokuamini (Yohana 5:41-47)
B - Yesu ni chakula cha (mkate wa) uzima (Yohana 6:1-71)
1. Kuwalisha watu elfu tano (Yohana 6:1-13)
2. Yesu anajiondolea kwenye kelele ya kutaka kumfanya awe mfalme (Yohana 6:14-15)
3. Yesu anawafikia wanafunzi wake wakiwa taabuni (Yohana 6:16-21)
4. Yesu anawapa watu chaguo: “Kubali au kataa!” (Yohana 6:22-59)
5. Kupepetwa kwa wanafunzi (Yohana 6:59-71)
C - Safari ya mwisho ya Yesu kwenda Yerusalemu (Yohana 7:1 - 11:54) Neno Kuu: Kutenganisha giza na nuru
1. Maneno ya Yesu kwenye sikukuu ya Vibanda (Yohana 7:1 - 8:59)
a) Yesu na ndugu zake (Yohana 7:1-13)
b) Maoni tofauti tofauti juu ya Yesu kati ya watu na kwenye Baraza Kuu (Yohana 7:14-53)
c) Wanasheria wamleta mwanamke mzinzi kwake Yesu ahukumiwe (Yohana 8:1-11)
d) Yesu, nuru ya ulimwengu (Yohana 8:12-29)
e) Dhambi ni utumwa (Yohana 8:30-36)
f) Ibilisi, mwuaji na mwongo (Yohana 8:37-47)
g) Kristo yupo na alikuwepo kabla ya Ibrahimu (Yohana 8:48-59)
2. Kumponya mtu aliyezaliwa kipofu (Yohana 9:1-41)
a) Kuponya siku ya Sabato (Yohana 9:1-12)
b) Wayahudi wanamhoji yule aliyeponywa (Yohana 9:13-34)
c) Yesu ajifunua kuwa Mwana wa Mungu kwa yule mponywa (Yohana 9:35-41)
3. Yesu, Mchungaji Mwema (Yohana 10:1-39)
a) Kondoo husikia sauti ya mchungaji wa kweli (Yohana 10:1-6)
b) Yesu ndiye mlango hasa (Yohana 10:7-10)
c) Yesu ndiye Mchungaji Mwema (Yohana 10:11-21)
d) Usalama wetu ndani ya umoja wa Baba na Mwana (Yohana 10:22-30)
e) Mwana wa Mungu ndani ya Baba, naye Baba ndani yake (Yohana 10:31-39)
4. Kumfufua Lazaro na matokeo yake (Yohana 10:40 - 11:54)
a) Yesu akiwa ng’ambo ya Yordani (Yohana 10:40 - 11:16)
b) Yesu akutana na Martha na Mariamu (Yohana 11:17-33)
c) Kumfufua Lazaro (Yohana 11:34-44)
d) Baraza la Wayahudi walimhukumu Yesu afe (Yohana 11:45-54)
SEHEMU YA 3 - Nuru yang’aa ndani ya shirika la Mitume (Yohana 11:55 - 17:26)
A - Utangulizi kwa Juma Takatifu (Yohana 11:55 - 12:50)
1. Yesu kupakwa mafuta Bethania (Yohana 11:55 - 12:8)
2. Yesu aingia Yerusalemu (Yohana 12:9-19)
3. Wayunani walitafuta kumfahamu Yesu (Yohana 12:20-26)
4. Baba alitukuzwa katikati ya fujo (Yohana 12:27-36)
5. Watu huendelea kuwa wagumu wenyewe wakielekea hukumuni (Yohana 12:37-50)
B - Mambo yaliyofuatana na chakula cha Bwana (Ushirika utakatifu) (Yohana 13:1-38)
1. Yesu aosha miguu ya wanafunzi wake (Yohana 13:1-17)
2. Msaliti anawekwa wazi na kuharakishwa (Yohana 13:18-32)
3. Agizo mpya kwa ajili ya Kanisa (Yohana 13:33-35)
4. Kristo anatabiri jambo la kukana kwa Petro (Yohana 13:36-38)
C - Hotuba ya kuaga kwenye chumba cha orofani (Yohana 14:1-31)
1. Mungu yupo ndani ya Kristo (Yohana 14:1-11)
2. Utatu utakatifu huwashukia waumini kwa njia ya Mfariji (Yohana 14:12-25)
3. Amani ya Kristo ya kuaga (Yohana 14:26-31)
D - Kuagana njiani kwenda Gethsemane (Yohana 15:1 - 16:33)
1. Kudumu ndani ya Kristo kunaleta matunda mengi (Yohana 15:1-8)
2. Kudumu kwetu ndani ya ushirikiano na Baba huonekana katika upendano kati yetu sisi na yeye (Yohana 15:9-17)
3. Ulimwengu humchukia Kristo na wanafunzi wake (Yohana 15:18 - 16:3)
4. Roho Mtakatifu hufunua maendeleo ya ajabu kabisa katika historia (Yohana 16:4-15)
5. Kristo alitoa habari mbele kuhusu furaha ya wanafunzi kwenye sikukuu ya ufufuo (Yohana 16:16-24)
6. Amani ya Kristo ndani yetu inashinda taabu za dunia (Yohana 16:25-33)
E - Maombezi ya Yesu (Yohana 17:1-26)
1. Utangulizi kwa sala za kutuombea
2. Sala kwa ajili ya utukufu wa Baba (Yohana 17:1-5)
3. Yesu anaombea mitume wake (Yohana 17:6-19)
4. Yesu anaombea umoja wa kanisa (Yohana 17:20-26)
SEHEMU YA 4 - Nuru Inashinda Giza (Yohana 18:1 - 21:25)
A - Matokeo kuanzia kukamatwa kwake Yesu hadi kuzikwa kwake (Yohana 18:1 - 19:42)
1. Yesu ankamatwa bustanini (Yohana 18:1-11)
2. Yesu anahojiwa mbele za Anasi na kukana kwake Petro mara tatu (Yohana 18:15-27
3. The civil trial before the Roman governor (Yohana 18:28 – 19:16)
a) Shtaki dhidi ya dai ya Kristo kuwa mfalme (Yohana 18:28-38)
b) Uchaguzi kati ya Yesu na Baraba (Yohana 18:39-40)
c) Kupigwa kwake Yesu mbele za washitaki wake (Yohana 19:1-5)
d) Pilato aliogofya kwa hali tukufu ya Kristo (Yohana 19:6-11)
e) Pilato kutamka hukumu bila haki juu ya Yesu (Yohana 19:12-16)
4. Msalaba na kifo cha Yesu (Yohana 19:16b-42)
a) Usulibisho na mavazi ya mazishi (Yohana 19:16b-22)
b) Kugawana nguo za Yesu na kupiga kura (Yohana 19:23-24)
c) Tamko la Kristo kwa mama yake (Yohana 19:25-27)
d) Ukamilisho (Yohana 19:28-30)
e) Kuchoma ubavu wa Yesu (Yohana 19:31-37)
f) Kuzikwa kwake Yesu (Yohana 19:38-42)
B - Ufufuo na kutokea kwake Kristo (Yohana 20:1 - 21:25)
1. Matukio siku ya Pasaka asubuhi (Yohana 20:1-10)
a) Mariamu Magdalene akiwa karibu na kaburi (Yohana 20:1-2)
b) Petro na Yohana wanakimbia haraka kaburini (Yohana 20:3-10)
c) Yesu anamtokea Mariamu Magdalene (Yohana 20:11-18)
2. Yesu awatokea wanafunzi wake kwenye chumba cha orofani (Yohana 20:19-23)
3. Yesu awatokea wanafunzi wake pamoja na Tomaso (Yohana 20:24-29)
4. Mwisho wa Injili ya Yohana (Yohana 20:30-31)
5. Yesu atokea kando ya ziwa (Yohana 21:1-25)
a) Mwujiza wa kuvua samaki wengi (Yohana 21:1-14)
b) Petro athibitishwa katika huduma ya kundi (Yohana 21:15-19)
c) Yesu kutabiri habari ya mambo ya mbeleni (Yohana 21:20-23)
d) Ushuhuda wa Yohana na wa Injili yake (Yohana 21:24-25)